IJUE VIZURI VWAWA YETU
PENDA SANA MBOZI YETU
Mwakataaaa......!!!! Mwapolaaaaa!!!! Si vibaya tukifahamiana
kwa kila mmoja wetu kutaja sehemu atokayo katika ramani hii. Pia ndugu zangu
siku zinaenda mbiyo sanaaa!! Na taarifa nilizonazo kuhusu muitikio juu ya ule
mkakati wetu wa kuwatembelea wadogo zetu pale mbozi mission katika kituo cha
kulelea watoto yatima hauridhishi sana. Ombi langu ni kwamba tujitahidi jamani
kwa chochote ulichonacho bila kujali ni kitu au kiasi gani kwakuwa kutoa ni
moyo.
Tuyisanyante Bhayaya...
Tuyisuvhe hansi...
Mungu atatubariki sote!!!
No comments:
Post a Comment